WCF yatoa Mafunzpo kwa viongozi wa TUICO kuhusu masuala ya fidia

News Image

Imewekwa: 27th May, 2019

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF, Bw. Anselim Peter (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mfuko na wale wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) ngazi ya Taifa na Makatibu wa Mikoa wakati wa semina ya siku moja ya masuala ya Mfuko kwa viongozi wa TUICO iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa NSSF mjini Morogoro, tarehe 24 Mei 2019.