WCF WASHIRIKI TUZO ZA MWAJIRI BORA WA MWAKA

News Image

Imewekwa: 15th Dec, 2018

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Anselim Peter akipokea cheti cha kutambua udhamini wa Mfuko katika Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa WCF, 15 Desemba katika Ukumbi wa Mlimani City